Song Lyrics

Jux Ft Diamond Platnumz – Enjoy Lyrics

Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi duniani
Na mi stress siwezi
Ooooh siwezi
Aahh

Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)

Kama kupendaaa
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwaa mimii
Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
Kilichoniponza ufalaaa
Kujiona simba kumbe swalaaa
Kazama kwenye penzi uchwalaaa
Badala ya kusaka miamalaaa
Ail yoooo oh
Toka ni date pesa (Enhee)
Sa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma homeboy (Enhee)
Ooooh account inasoma (Enhee)
Na kamwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
Ai nasema boraaaa

Bora ni Enjoy (Kwiri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho
(Yanini niteseke rohoo)
Jiunge nami upoze koo
(Jiunge na mimi ah)
Bora ni Enioy (Kwiri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Aaahh iveeeeiii ve)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah)

Napenda nikilewa
Nipande juu va meza
Minjonjo
Huku natema kingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Za za za za za

Bora ni Enjoy (Kwiri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo)

Kamix Lizer

Back to top button